Josiah Mwangi Kariuki

Josiah M. Kariuki

Ukumbusho wa Josiah Kariuki katika eneo la kifo chake.

Muda wa Utawala
1974 – 1975
Rais Jomo Kenyatta

tarehe ya kuzaliwa (1929-03-21)21 Machi 1929
Kibati-ini, Mkoa wa Rift Valley
tarehe ya kufa 2 Machi 1975 (umri 45)
Nairobi, Kenya

Josiah Mwangi Kariuki (aliitwa na watu wengi “J.M.”; 21 Machi 1929 - 2 Machi 1975) alikuwa mwanasiasa wa Kenya wakati wa uongozi wa Jomo Kenyatta. Yeye alikuwa katika nafasi tofauti za serikali kutoka mwaka 1963, wakati Wakenya walipata uhuru, mpaka 1975, alipofariki. Alikuwa na wake watatu na watoto wengi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search